Kiferoge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiferoge (au Kikaligi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waferoge. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiferoge imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiferoge iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiferoge kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.