Kifasu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifasu ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wafasu, Wanamuni na Wasome. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kifasu imehesabiwa kuwa watu 1200, yaani Wafasu 750, Wanamuni 300 na Wasome 150. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifasu iko katika kundi la Kikutubu-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifasu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.