Kifas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifas ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inazungumzwayo na Wafas. Mwaka wa 2000 idadi ya wazungumzaji wa Kifas imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kifas iko katika kundi lake lenyewe la Kifas. Lugha la pekee linalohusiana na Kifas ni Kibaibai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.