Kifali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifali ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wafali. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kifali imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifali iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.