Kiewondo
Mandhari
Kiewondo ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waewondo. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiewondo imehesabiwa kuwa watu 578,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiewondo iko katika kundi la A70.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiewondo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiewondo Ilihifadhiwa 25 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiewondo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ewo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiewondo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |