Kienggano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kienggano ni lugha nchini Indonesia inayozungumzwa na Waenggano. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kienggano imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kienggano haijaainishwa katika kundi fulani bila shaka.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kienggano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.