Kiende (Flores)
Mandhari
Kiende ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waende kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiende imehesabiwa kuwa watu 110,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiende iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiende kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiende Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiende katika Glottolog
- lugha ya Kiende kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiende (Flores) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |