Kielip

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kielip ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waelip. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kielip imehesabiwa kuwa watu 6400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kielip iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kielip kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.