Kiega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiega ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waega. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiega imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiega iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiega kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.