Nenda kwa yaliyomo

Kiede-Ije

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiede-Ije ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Waede. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiede-Ije imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiede-Ije iko katika kundi la Kiyoruboidi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiede-Ije kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.