Kiede-Idaca
Mandhari
Kiede-Idaca ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Waede. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiede-Idaca imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiede-Idaca iko katika kundi la Kiyoruboidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiidaca kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiidaca Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiidaca katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/idd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiede-Idaca kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |