Kiebrie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiebrié ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waebrié. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiebrié imehesabiwa kuwa watu 75,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiebrié iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiebrie kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.