Kidzando
Mandhari
Kidzando ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wadzando. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kidzando imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidzando iko katika kundi la C40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidzando kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidzando Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidzando katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dzn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidzando kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |