Nenda kwa yaliyomo

Kidusun-Malang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidusun-Malang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadusun na Wabayan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidusun-Malang imehesabiwa kuwa watu 4500, yaani Wadusun 2500 na Wabayan 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun-Malang iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidusun-Malang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.