Kiduri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiduri (pia Kimasenrempulu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waduri kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiduri imehesabiwa kuwa watu 127,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduri iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.