Kidura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidura ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal iliyozungumzwa na Wadura. Mwaka wa 2011 idadi ya Wadura imehesabiwa kuwa watu 2160, lakini hawakutumia lugha yao ya asili yaani lugha ya Kidura imatoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidura iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidura kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.