Kiduhwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiduhwa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waduhwa. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiduhwa imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduhwa iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduhwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.