Nenda kwa yaliyomo

Kidugwor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidugwor ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadugwor. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidugwor imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidugwor iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidugwor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.