Kidubli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidubli ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadubli. Mwaka wa 2007 idadi ya Wadubli imehesabiwa kuwa watu 791,000 lakini wasemaji wa Kidubli ni 252,000 tu kwa vile Wadubli wengi hutumia Kigujarati kama lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidubli iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidubli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.