Kidoyayo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kidoyayo (lugha))
Kidoyayo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadoyayo. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kidoyayo imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidoyayo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidoyayo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidoyayo Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidoyayo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dow
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidoyayo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |