Kidoondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidoondo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wadoondo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidoondo imehesabiwa kuwa watu 3020. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidoondo iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidoondo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.