Kidongotono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidongotono ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wadongotono. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kidongotono imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kiotuho. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidongotono iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidongotono kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.