Kidong cha Kusini
Mandhari
Kidong ya Kusini ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wadong. Idadi ya wasemaji wa Kidong ya Kusini imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidong ya Kusini iko katika kundi la Kikam-Sui.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidong ya Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidong ya Kusini Archived 8 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidong ya Kusini katika Glottolog
- lugha ya Kidong ya Kusini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidong cha Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |