Kidong cha Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidong ya Kusini ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wadong. Idadi ya wasemaji wa Kidong ya Kusini imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidong ya Kusini iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidong cha Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.