Kidong cha Kaskazini
Mandhari
Kidong ya Kaskazini ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wadong. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidong ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 463,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidong ya Kaskazini iko katika kundi la Kikam-Sui.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidong ya Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidong ya Kaskazini Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidong ya Kaskazini katika Glottolog
- lugha ya Kidong ya Kaskazini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidong cha Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |