Kidolpo
Mandhari
Kidolpo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wadolpo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidolpo imehesabiwa kuwa watu 1670. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidolpo iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidolpo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidolpo Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidolpo katika Glottolog
- lugha ya Kidolpo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidolpo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |