Kidobel
Mandhari
Kidobel (pia Kikobror) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadobel kwenye visiwa vya Aru kama Kobror, Koba na Wokam. Wengine wamehamia visiwa vya Dobo na Ambon. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidobel imehesabiwa kuwa watu 5680. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidobel iko katika kundi la Kiaru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidobel kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidobel Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidobel katika Glottolog
- lugha ya Kidobel kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidobel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |