Kidjiwarli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidjiwarli kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadjiwarli katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidjiwarli ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjiwarli kiko katika kundi la Kimantharta.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjiwarli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.