Kidjangun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidjangun kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadjangun katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidjangun ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjangun kiko katika kundi la Kiyalandyiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjangun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.