Kidjambarrpuyngu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidjambarrpuyngu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjambarrpuyngu katika jimbo la Northern Territory kisiwani kwa Elcho. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjambarrpuyngu 2760. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjambarrpuyngu kiko katika kundi la Kiyolngu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjambarrpuyngu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.