Kidjadjawurrung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo ya lugha za Kikulin; Kidjadjawurrung kiko upande wa Kaskazini-Magharibi (rangi ya buluu).

Kidjadjawurrung kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadjadjawurrung katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidjadjawurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjadjawurrung kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjadjawurrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.