Kidjabwurrung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidjabwurrung ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjabwurrung katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kidjabwurrung saba tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjabwurrung kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjabwurrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.