Kidirari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidirari kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadirari katika jimbo la Australia ya Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidirari ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidirari kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidirari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.