Kidinka-Rek
Mandhari
Kidinka-Rek (au Kidinka ya Kusini-Magharibi) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wadinka. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kidinka-Rek imehesabiwa kuwa watu 450,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidinka-Rek iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kirek kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kirek Ilihifadhiwa 21 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kirek katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dik
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidinka-Rek kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |