Kidinka-Padang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidinka-Padang (pia Kidinka ya Kaskazini-Mashariki au Kingok au Kijok) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wadinka. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kidinka-Padang imehesabiwa kuwa watu 320,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidinka-Padang iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidinka-Padang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.