Kidinka-Bor
Mandhari
Kidinka-Bor (au Kidinka ya Kusini-Mashariki) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wadinka. Idadi ya wasemaji wa Kidinka-Bor nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 250,000. Pia kuna wasemaji nchini Kanada. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidinka-Bor iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibor kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibor Archived 20 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibor katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dks
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidinka-Bor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |