Kidinka-Agar
Mandhari
Kidinka-Agar (au Kidinka ya Kati Kusini) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wadinka. Idadi ya wasemaji wa Kidinka-Agar imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidinka iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiagar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiagar Ilihifadhiwa 21 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiagar katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dib
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidinka-Agar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |