Nenda kwa yaliyomo

Kidigo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidigo (pia huitwa Chidigo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Kenya inayozungumzwa na Wadigo. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kidigo nchini Kenya imehesabiwa kuwa watu 217,000. Pia kuna wasemaji 88,000 nchini Tanzania (1987). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidigo iko katika kundi la E70.

Mfumo wa herufi

[hariri | hariri chanzo]

Lugha ya Kidigo ina irabu tano kama Kiswahili: a, e, i, o na u. Hakuna tofauti ya kifonolojia kati ya irabu fupi na irabu ndefu.

Herufi zinazotumiwa kwa kuandika konsonanti za Kidigo ni zifuatazo: b, ch, dz, f, g, gbw, j, k, kpw, l, m, m', n, ng', ny, p, ph, r, s, sh, t, ts, v, w, y, z na zh.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Hinnebusch, Thomas J. (1999). "Contact and lexicostatistics in Comparative Bantu studies". Katika: Jean-Marie Hombert & Larry M. Hyman (wahariri) Bantu Historical Linguistics: Theoretical and Empirical Perspectives. Stanford, CA: CSLI Publications. Uk. 173-205.
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  • Mwalonya, Joseph; Nicolle, Alison; Nicolle, Steve na Zimbu, Juma (2004). Mgombato (Digo-English-Swahili Dictionary). Nairobi: BTL. ISBN 9966-00-066-6
  • Nicolle, Steve (2001). "A Comparative Study of Ethnobotanical Taxonomies: KiSwahili and ChiDigo". Notes on Anthropology 5 (1): 33-43.
  • —— (2002a). Mihi ihumirwayo ni Adigo (Plants used by the Digo people: a Digo ethnobotany). Kwale, Kenya: Digo Language and Literacy Project. ISBN 9966-954-90-3
  • —— (2002b). "Anaphora and focus in Digo". Katika: A. Branco, T. McEnery & R. Mitkov (wahariri) Proceedings of the 4th Discourse Anaphora and Anaphora Resolution Colloquium (DAARC 2002). Lisbon: Edições Colibri. Uk. 141-146. ISBN 972-772-350-0
  • —— (2002c). "The grammaticalisation of movement verbs in Digo and English". Réview de Sémantique et Pragmatique 11: 47-68.
  • —— (2003). "Distal aspects in Bantu languages". Katika: K. Jaszcolt & K. Turner (wahariri) Meaning Through Language Contrast, vol 2. Amsterdam: John Benjamins. (Pragmatics and Beyond New Series 100.) Uk. 3-22.
  • —— (Karibu kutolewa) "The relevance of ethnobotanical studies to linguistic vitality: The case of plant use and classification among the Digo of Kenya". Itatolewa katika University of Nairobi Occasional Papers in Linguistics 2.
  • Nurse, Derek (1999). "Towards a historical classification of East African Bantu languages". Katika: Jean-Marie Hombert & Larry M. Hyman (wahariri) Bantu Historical Linguistics: Theoretical and Empirical Perspectives. Stanford, CA: CSLI Publications. Uk. 1-41.
  • Nurse, Derek & Hinnebusch, Thomas J. (1993). Swahili and Sabaki: A Linguistic History. Berkeley and Los Angeles: University of California Press.
  • Nurse, Derek & Walsh, Martin (1992). "Chifundi and Vumba: Partial shift, no death". Katika: Matthias Brenzinger (mhariri) Language Death: Factual and theoretical explorations with special reference to East Africa. Berlin/New York: Mouton de Gruyter. Uk. 181-212.
  • Spear, T. T. (1982). Traditions of Origin and their Interpretation. The Mijikenda of Kenya. Athens, Ohio: Ohio University Center for International Studies.
  • Walsh, Martin T. (1992). "Mijikenda origins: A review of the evidence". Transafrican Journal of History 21: 1-18.
  • Zani, Z. M. S. (1954). "A comparative note on the possessive in Chi-Digo". Journal of the East Africa Swahili Committee 24: 58-59.

Kitabu cha Maho na Sands kinataja marejeo mengine kama:

  • 1996. Kusoma Kidigo: transition primer, Kiswahili to Chidigo. Nairobi: Bible Translation & Literacy, East Africa. Kurasa 15.
  • 1996. Ni wakati wa kudzifundza kusoma Chidigo! [It’s time to learn reading Digo!] Nairobi: Bible Translation & Literacy, East Africa. Kurasa 92.
  • Meinhof, Carl. 1905. Linguistische Studien in Ostafrika, V: Digo. Mitteilungen des Seminars für orientalische Sprachen, 8 (III. Abt.), uk. 177-185.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidigo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.