Kidieri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidieri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadieri katika jimbo la Australia ya Kusini. Mwaka wa 2013, kulikuwa na wasemaji wa Kidieri kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidieri kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidieri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.