Kidibole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidibole ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wadibole. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kidibole imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidibole iko katika kundi la C20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidibole kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.