Kidia (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidia ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wadia. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidia imehesabiwa kuwa watu 1840. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidia iko katika kundi la Kimapei.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidia (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.