Kidhungaloo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidhungaloo (au Kidungaloo) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadhungaloo katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidhungaloo ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhungaloo kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhungaloo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.