Kidhodia
Mandhari
Kidhodia ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadhodia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidhodia imehesabiwa kuwa watu 169,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhodia iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidhodia kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidhodia Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidhodia katika Glottolog
- lugha ya Kidhodia kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidhodia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |