Kidharumbal
Mandhari
Kidharumbal (au Kidarumbal) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadharumbal katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidharumbal ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidharumbal kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidharumbal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidharumbal Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidharumbal katika Glottolog
- lugha ya Kidharumbal katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidharumbal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |