Kidhargari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidhargari ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadhargari katika jimbo la Australia ya Magharibi. Mwaka wa 2007, kulikuwa na msemaji wa Kidhargari mmoja tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhargari kiko katika kundi la Kipama cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhargari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.