Kidesiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidesiya ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadesiya. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidesiya imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidesiya iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidesiya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.