Kidalabon
Mandhari
Kidalabon (pia Kingalkbun) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wadalabon katika ya jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidalabon kumi na mmoja tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidalabon kiko katika kundi lake lenyewe la Kingalkbun.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidalabon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidalabon Archived 13 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidalabon katika Glottolog
- lugha ya Kidalabon katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidalabon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |