Nenda kwa yaliyomo

Kichut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichut ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wachut. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kichut imehesabiwa kuwa watu 1050 nchini Vietnam na 200 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichut iko katika kundi la Kiviet-Muong.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.