Kichukwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichukwa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wachukwa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kichukwa imehesabiwa kuwa watu 100 ambao watano wao tu waliweza kuzungumza Kichukwa vizuri, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichukwa iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichukwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.