Kichru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichru ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vietnam inayozungumzwa na Wachru. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kichru imehesabiwa kuwa watu 19,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichru iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.